Posts

Showing posts from April 3, 2016

Uliiona picha ya Diamond Platnumz kutoboa pua?! ukweli ninao hapa

Image
Kwa saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua. Ukweli ukoje? …ukweli ni kwamba Diamond hajatoboa pua kama wengi walivyodhani ambapo Meneja wake aitwae Sallam aliwajibu hivi mashabiki walioanza kuuliza >>> ‘Usiamini kila unachoona kwenye picha au unachoambiwa, mlikuwa mmelala sana amewaamsha kidogo’ Maneno ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hapa chini akiwa fresh kabisa watu wasiendelee kupanic. ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI YA MR NICE MAREKANI? ITAZAME HAPA CHINI

Wizara ya Elimu Sayansi,Teknolojia na Ufundi inakanusha taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari 'NDALICHAKO NA WALIMU TZ'.

Image
Wizara ya Elimu Sayansi,Teknolojia na Ufundi inakanusha taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari 'NDALICHAKO NA WALIMU TZ'. Taarifa hiyo inadai kwamba Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa walimu wanaandaliwa sare watakazovaa wakati wa kazi. Tunapenda kuwafahamisha umma kuwa taarifa hizi si za kweli. Aidha wizara inawataka watu wote wanaoeneza taarifa za kizushi aina hii waache kufanya hivyo ili kuepusha usumbufu unaojitokeza. Aidha Hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa watakaobainika kuanzisha na kueneza ushushi huu.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 8 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo:

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 8 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo: KUYAANGALIA BOFYA HAPA

Sasa hivi sio wewe kuwafata TANESCO wakuunganishie Umeme, ni wao ndio wanatakiwa kukufata

Image
Awamu ya tano ya Rais Magufuli imeambatana na maamuzi mapya au yaliyoongezewa ubunifu na nguvu kubwa ya ufatiliaji ambapo kwenye wizara ya nishati boss Profesa Muhongo cheo chake kikiwa ni Waziri wa nishati na madini amekuja na hii mpya. Tulizoea kuona Taasisi za kibishara kama Benki na taasisi nyingine ndio zinafata Watu kuomba wanunue bidhaa zao au kujiunga na benki ila sasa hivi imehamishiwa TANESCO maana siku zote ilikua Wananchi ndio wananyenyekea TANESCO wawaunganishie umeme kwenye nyumba zao, Waziri Muhongo ameagiza na kuanzia sasa TANESCO ndio watakua wanafata watu kuomba kuwaunganishia umeme. Profesa Muhongo amekuja na hii mpya na ninamnukuu >>> ‘TANESCO wanaagizwa kuanzia sasa wawafate Wananchi hukohuko vijijini wakiwa na Wakusanya fedha na stakabadhi zao Wananchi walipie hukohuko vijijini, labda ndugu zangu hamkua mnajua… kazi moja tunaifanya TANESCO sasa hivi, ukitaka kuendelea na umeneja tunakutathmini kila baada ya miezi mitatu‘ ‘Tathmini yetu ina vigezo vitat...

Rais Magufuli kaeleza kwanini hapendi sana kusafiri nje ya nchi

Image
Tunajua Rais Magufuli amekuwepo nchini Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 mpaka April 7 jioni aliporudi Tanzania, kwenye moja ya maongezi yake mbele ya Wananchi wa Rwanda ameongea pia kuhusu kwanini hapendi kusafiri nje ya nchi na toka achaguliwe October 2015, amesafiri nje ya nchi kwa mara ya kwanza April 2016. ‘Nataka niwaeleze ndugu zangu, mimi sipendi sana kusafiri kwasababu ninapenda kubana matumizi… nimealikwa sehemu nyingi nimealikwa Ulaya lakini na sehemu nyingine bado sijaenda, nilipoalikwa na Muheshimiwa Kagame nimekuja na ninataka niwaeleze ndugu zangu wa Rwanda hii ndio safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania‘ – Rais Magufuli.

FOREVER COVER(RUBY) BY CHEMICAL

Image
Download cover ya nyimbo ya Ruby(FOREVER) Iliyo imbwa na msanii wa KIKE(HIP-HOP) Anayeitwa CHEMICAL. BOFYA HAPA KUIDOWNLOAD

Aneth David... msomi wa Chuo kikuu Dsm Tanzania aliyeshinda tuzo ya Mwanasayansi Afrika

Image
Tanzania imepata headlines nyingine baada ya kupata mshindi msomi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Aneth David ambaye ameshinda tuzo ya Mwanasayansi mkubwa ajaye duniani akiwa bado ni Mwanafunzi wa sayansi kwenye chuo kikuu cha Dar es salaam. Tuzo inaitwa Next Einstein Forum Ambassador na imeandaliwa taasisi ya Next Einstein Forum ambao wanaamini kwamba Einstein anaekuja ambaye alikua Mwanasayansi mkubwa wa Marekani atatoka Afrika, Mwanasayansi huyu aliweza kutabiri mambo yaliyokuja kutokea miaka 100 baadae. ‘Next Einstein Forum wanaamini kuna Wanasayansi wanaofanya mambo makubwa na mazuri na yanasaidia jamii zao lakini wamefichika wapo vichakani, kinachojulikana zaidi kutoka Afrika ni vita njaa na magonjwa’ – Aneth Aneth amesema alipeleka maombi ya kushiriki tuzo hii July 2015 na baadae akapata majibu, kulikua na Watanzania kama watano aliowaona walioshiriki kama yeye lakini yeye ndio akatajwa mshindi, kulikua na Wawakilishi 54 kutoka n...

Answer to the Question: What is Bid’a and what is its #Punishment? What is the #Difference between that and “One Who Initiates a Good Practice”?

Bismillahi Al-Rahman AlRaheem Answer to the Question: What is Bid’a and what is its #Punishment? What is the #Difference between that and “One Who Initiates a Good Practice”? To Radwan Yusuf ====================== #Question: Assalaamu Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakaatuhu, I request from the Ameer to answer my question as it is very important. What is Bid’a and what is its punishment? And what is the difference between Bid’a and “one who initiates a good practice”? And is the inaction of the Prophet (saw) in a matter considered as a Shariah evidence that is valid and can be referred to? We regularly discuss with some groups and they describe some matters as Bid’ah which are not performed by the Prophet (saw). This question is very important, Barak Allah in you. Please clarify this and provide examples in the answer to help us in getting a better understanding.   #Answer: Wa Alaikum Assalaam Wa Rahmatullah Wa Barakaatuhu...

ENTERTAINMENT VIDEO: Dogo Janja kafanyiwa suprise na kuzawadiwa gari aina ya Benz

Image
Dogo Janja ni msanii wa bongofleva kutokea Tiptop connection ambapo siku kadhaa zilizopita aliachia single yake mpya ya ‘my life’ kwa mara ya kwanza, sasa March 10 2016 wakati yupo katikati ya Interview akihojiwa na Diva usiku kupitia CloudsFM akafanyiwa suprise ya zawadi ya gari…. bonyeza play kwenye hii video hapa chini

America’s MCC Decision a Reward to Magufuli

America’s MCC Decision a Reward to Magufuli By Dr. Abdallah Liwaka The United States has announced that it is suspending partnership with Tanzania on the Millennium Challenge Account’s new Compact development supposedly because of the election in Zanzibar and the application of the Cyber Crimes Act. For starters, this decision was expected. Those of us in diplomatic circles have long been privy to the US Ambassador’s constant complaints and badmouthing the government about things mundane and substantive. We knew the type of Ambassador he was going to be, coming straight out of the West Wing, a high-minded and moralist liberal with direct line to key decision-makers in Washington. This was supposed to be a blessing for Tanzania. Unfortunately, with transition of administrations here in Tanzania, his vision of a powerful US ambassadorship in Tanzania never materialized. Since Dr. John Pombe Magufuli took office, the United States has been treated like any other countr...

1000 SHORT STATUS FOR WHATSAPP

Image
1000 Short Status for Whatsapp ( UPDATED 2016 ) Get the best whatsapp status from our list of over 1000 latest updates in different categories like love, life, romance, hindi, attitude, friendship, lonely, exams, & short status updates. I hope you like the list, we will update the list daily so make sure you bookmark this page and come back again for more latest whatsapp updates. This website is strictly for information purpose, We are not affiliated with whatsapp or any of it’s brands. Short Love Whatsapp status Every love story is beautiful, But ours is My Favorite! Falling in Love is easy…But staying in Love is very special… Rose is red, sky is blue, my love is true only for you. Love doesn’t need a reason. Pure Love will come from the heart without reason. And stay every season. Love doesn’t need to be perfect.It needs to be true. Love is the other NAME Of Respect, if you can’t Respect your loved One then you don’t deserve to be...