MPIGA PICHAA
STORY ZA MTOTO WA BECKER JUL 30 CHOMBEZO LA MPIGA PICHA MPIGA PICHA Na ~ MTOTO WA BECKER (The Special Thinker) WhatsApp ~ +255 783 684 869 E-Mail ~ Shebbybecker@gmail.com P.O BOX ~ DAR ES SALAAM ______________ *** SHUKRANI *** KWANZA KABISA NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUNIJAALIA AFYA NJEMA NA NGUVU PIA KWA KUNIBARIKI KIPAJI CHA KUWEZA KUTUNGA HADITHI AMBAZO ZIMEKUWA LULU PIA KWA JAMII NA KUNIPA HESHIMA KWA KILA SIKU. PILI WAZAZI WANGU KWA MALEZI MEMA NA KUNIPA MOYO KWA KILE NINACHOKIFANYA NA NAAMINI DUA ZAO PIA ZIMENISAIDIA KIASI KIKUBWA LEO HII KUWA HAPA NILIPO JAPO BADO SIJAFIKIA MARENGO NA SAFARI BADO NI NDEFU ILA KWA BARAKA ZA MUNGU NA WAZAZI NAAMINI NITAFANIKIWA. TATU KWAKO WEWE MDAU NA MPENZI WA HADITHI HUSUSANI ULIYEKUWA RADHI KUJINYIMA NA KUNUNUA HADITHI YANGU NAKUOMBEA MUNGU AKUZIDISHIE KATIKA KIPATO CHAKO KWANI NAAMINI FIKA BILA WEWE BASI LEO HII NAMI NISINGEWEZA JIVUNIA CHOCHOTE KWA HIKI NINACHOKIFANYA. ...................