Posts

Showing posts with the label USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM sadam_chande_starbwoy

TAZAMA PICHA JINSI LOWASA ALIVYOPOKELEWA MBEYA..HAPA

Image
Breaking Newz: Habari kutoka Mbeya, mapokezi ya kumpokea Lowasa yamekuwa zaidi ya mafuriko. Airport kumefurika watu hakuna hata sehemu ya wazi. Watu wamekodi mabasi toka Songea, Njombe, Tunduma, Makambako na Iringa. Watu ni wengi sana hakufai, chanzo cha taarifa kinasema yawezekana hata watu walioandamana au msindikiza Lowasa kuchukua form walikua wachache. Kwa sasa inasemekana hata huo uwanja usitoshe mana ni Mafuriko infact Lowasa ni shida alisema mtoa taarifa

Page ya kijanjaa fb

https://www.facebook.com/pages/Sadam-Chande-Magali/1380073408982784

TAMKO TOKAA TCRA(MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA)

Habari Leo 11 August 2015 Meneja Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Innocent Mungy akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu matumizi mabaya ya mitandao. MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa watumiaji vibaya na wahalifu wote wa mitandao nchini, kuwa siku zao zinahesabika kwani ifikapo Septemba mosi, mwaka huu, Sheria ya Uhalifu wa Mitandao itaanza kutumika na wengi huenda wakaishia gerezani. Mamlaka hiyo imebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inaongoza kwa kuwa na watumiaji vibaya wengi wa mitandao ya kijamii, jambo linalosababisha taarifa za mitandao mingi kutoaminika hadi nchi za nje kutokana na kujaa uzushi, uongo, uchochezi na lugha na picha za matusi. Akizungumza na gazeti hili Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungy alikiri kuwa pamoja na kwamba mamlaka hiyo imefanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii juu ya utumiaji sahihi wa mitandao hiyo, bado matumizi yake si mazuri hasa katika kipindi hiki cha ...

THERMODYNAMICS

Hey,I found very fantastic app for Applied Thermodynamics please share with friends link given here https://play.google.com/store/apps/details?id=com.faadooengineers.free_appliedthermodynamics

CHECK MA PROFILE ON FACEBOOK

Sadam Chande Magali August 8 at 3:05pm  ·  Call me  Sadam Chande Magali 90 Likes7 Comments Like Comment Share Sadam Chande Magali  shared a link . July 19 at 7:50am  ·  WASHINDI WA MTV MAMA AWARDS 2015 | SADAM CHANDE MAGALI ( sablood _ macar ) Yako majina mawili yaliyoiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, Diamond Platnumz   na  Vanessa Mdee   ‘Vee Money’… kura zimepigwa na leo ndio ilikuwa fainali yenyewe ndani ya Durban South Africa ukumbi wa  Durban International Convention Centre. sadamchande.blogspot.com 20 Likes1 Comment Like Comment Share See More Recent Posts

YABAINIIKAA KUMBE SHILOLE NA MZIWANDA WATAFUTAA KIKI TUUU

Image
Yabainika ...... Shilole na Nuh Kumbe wanatafuta Kiki tu By: sadam chande BAADA mikasa na vituko kibao vya kidume kuchezea kichapo na kuvumilia kitambo huku thamani ya uume ikidhalilishwa front, kijana Nuhu Mziwanda kabwaga mazima, ni Couple iliyounganishwa na yeye na mwanadada mwenye kesi kwa Pilato Basata kwa kumwaga radhi Ughaibu Shilole. Baada ya kupata mtonyo iliwaibukia artist hao wenye uwezo wa kuact kila kunapokucha katika kupata data kama ni sinema na wanaendelea na Movie yao mpya ya maisha kama walivyozoeleka? Lakini hii ni real mtu kambwaga mtu naye kaipokea safi. “Mwanaume umjali mpenzi wake na kumfanyia kile atakacho, lakini si kwa huyu ni mwanamke asiyejua kupendwa na chochote nilichofanya ilikuwa kwa ajili ya upendo tu, nimemwacha na aje mwanaume mwingine naye ajaribu,”Mziwanda Pia msanii huyo wa muziki amekanusha kuwa kuwepo kwake na mwenye jina la Zuwena Mohamed jina linalofunikwa na hili la ugali la Shilole kuwa hakuwa anamtegemea sana kama ni kwenda Uropa ...