Posts

Showing posts from July 19, 2015

YABAINIIKAA KUMBE SHILOLE NA MZIWANDA WATAFUTAA KIKI TUUU

Image
Yabainika ...... Shilole na Nuh Kumbe wanatafuta Kiki tu By: sadam chande BAADA mikasa na vituko kibao vya kidume kuchezea kichapo na kuvumilia kitambo huku thamani ya uume ikidhalilishwa front, kijana Nuhu Mziwanda kabwaga mazima, ni Couple iliyounganishwa na yeye na mwanadada mwenye kesi kwa Pilato Basata kwa kumwaga radhi Ughaibu Shilole. Baada ya kupata mtonyo iliwaibukia artist hao wenye uwezo wa kuact kila kunapokucha katika kupata data kama ni sinema na wanaendelea na Movie yao mpya ya maisha kama walivyozoeleka? Lakini hii ni real mtu kambwaga mtu naye kaipokea safi. “Mwanaume umjali mpenzi wake na kumfanyia kile atakacho, lakini si kwa huyu ni mwanamke asiyejua kupendwa na chochote nilichofanya ilikuwa kwa ajili ya upendo tu, nimemwacha na aje mwanaume mwingine naye ajaribu,”Mziwanda Pia msanii huyo wa muziki amekanusha kuwa kuwepo kwake na mwenye jina la Zuwena Mohamed jina linalofunikwa na hili la ugali la Shilole kuwa hakuwa anamtegemea sana kama ni kwenda Uropa