TAZAMA PICHA JINSI LOWASA ALIVYOPOKELEWA MBEYA..HAPA
Breaking Newz: Habari kutoka Mbeya, mapokezi ya kumpokea Lowasa yamekuwa zaidi ya mafuriko. Airport kumefurika watu hakuna hata sehemu ya wazi. Watu wamekodi mabasi toka Songea, Njombe, Tunduma, Makambako na Iringa. Watu ni wengi sana hakufai, chanzo cha taarifa kinasema yawezekana hata watu walioandamana au msindikiza Lowasa kuchukua form walikua wachache. Kwa sasa inasemekana hata huo uwanja usitoshe mana ni Mafuriko infact Lowasa ni shida alisema mtoa taarifa