Posts

Showing posts from June 19, 2016

FORM FIVE SELECTION 2016 CHECK HERE

Image
TAARIFA KWA UMMA 24-JUNI-2016. OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana 20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana 15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi. Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika sh

TANZANIA has started to build its own helicopters in a project that will see the first batch of such choppers taking into the sky sometimes in 2018.

Image
Already, the prototype model, a two-seater aircraft is in its final stages of completion at the Mechanical and Engineering Department of the Arusha Technical College, which runs a fully-fledged factory producing various forms of machinery, including a prototype motor vehicle and a number of industrial engines.But it is the Tanzanian-made new helicopter that seems to be turning heads here; “We are complementing President Magufuli’s industrialisation policy in pioneering the first locally made helicopters that will be available to ordinary residents at affordable prices,” explained the man behind the ATC chopper project, Engineer Abdi Mjema.The Permanent Secretary in the Ministry of Education, Science and Technology, Ms Maimuna Tarishi, who also toured the project over the weekend seemed surprised at the development and wanted to know when exactly the chopper will hit the skies.“We are contacting the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) for the permission to fly the chopper for trial