MPIGA PICHAA

STORY ZA MTOTO WA BECKER

JUL

30

CHOMBEZO LA MPIGA PICHA

MPIGA PICHA

NaMTOTO WA BECKER 

(The Special Thinker) 

WhatsApp ~ +255 783 684 869

E-Mail ~ Shebbybecker@gmail.com

P.O BOX ~ DAR ES SALAAM
______________

*** SHUKRANI ***

KWANZA KABISA NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUNIJAALIA AFYA NJEMA NA NGUVU PIA KWA KUNIBARIKI KIPAJI CHA KUWEZA KUTUNGA HADITHI AMBAZO ZIMEKUWA LULU PIA KWA JAMII NA KUNIPA HESHIMA KWA KILA SIKU.

PILI WAZAZI WANGU KWA MALEZI MEMA NA KUNIPA MOYO KWA KILE NINACHOKIFANYA NA NAAMINI DUA ZAO PIA ZIMENISAIDIA KIASI KIKUBWA LEO HII KUWA HAPA NILIPO JAPO BADO SIJAFIKIA MARENGO NA SAFARI BADO NI NDEFU ILA KWA BARAKA ZA MUNGU NA WAZAZI NAAMINI NITAFANIKIWA.

TATU KWAKO WEWE MDAU NA MPENZI WA HADITHI HUSUSANI ULIYEKUWA RADHI KUJINYIMA NA KUNUNUA HADITHI YANGU NAKUOMBEA MUNGU AKUZIDISHIE KATIKA KIPATO CHAKO KWANI NAAMINI FIKA BILA WEWE BASI LEO HII NAMI NISINGEWEZA JIVUNIA CHOCHOTE KWA HIKI NINACHOKIFANYA.

...................

KARIBU UJUMUIKE NAMI KATIKA STORY HII TAMU NA YA KUSISIMUA 

 
______________

~~DECEMBER 8 1995 DAR (COCO BEACH) SAA 6 MCHANA.~~

Ilikuwa ni siku ya jumapili nikiwa nimechuchumaa pembezoni mwa jiwe moja kubwa lenye pango huku nikijikinga na manyunyu ya mvua iliyokuwa ikiendelea kunyesha mara kwa mara mchana ule na kupelekea sehemu zile za fukwe kutochangamka sana kama inavyokuwaga kila inapofika mwishoni mwa wiki hususani siku kama hii. Moyoni niliilaani sana hali ile ya hewa na kuona jinsi gani inaniharibia mipango yangu kwani wiki hiyo ilikuwa mbaya zaidi upande wangu kati ya miezi yote 10 iliyopita pindi nilipoanza rasmi kazi yangu hii ya kupiga picha. Nikiwa nimechuchumaa nikirusharusha vijiwe kwenye maji huku nikifikilia hasara niliyoipata baada ya kuchepua akiba yangu niliyoieka kwa dhumuni la kulipia kodi ya chumba na matokeo yake nimeipunguza kwa kununulia mikanda mipya miwili nikiamini nitapiga bao pande za fukwe wikiendi ile kwa kumaliza mikanda yote matokeo yake mvua ikawa inanifukuzia wateja wangu hasa ambao walikuwa na mipango ya kuja pande za beach siku hiyo, Niliwashudia watu wengi wakiondoka pande zile wakiikimbia mvua huku baadhi ya watu wabishi niliwaona wakiwa wanaendelea kuburudika kwa kuogelea na kuchezacheza bila kujali hali ile ya manyunyu.

Nilipiga moyo konde na kukubali yaishe pindi nilipoona dakika zinazidi kuyoyoma na hatimae saa 10 ilitimu huku kukiwa hakuna dalili yoyote ya kukatika kwa manyunyu yale, taratibu nilinyanyuka huku nikiwaacha watu wachache maeneo yale na kuanza kujikongoja kichwa chini mikono nyuma huku Kamera yangu ikiwa inaning'inia shingoni nikiwa nimeifunga sawia kwa mfuko wa naironi nikihofia isije kuingia maji bure nikawehuka zaidi.

"Mpiga pichaaa, mpiga pichaaa.." 
Ilikuwa ni sauti raini niliyoisikia barabara ikipenya kwenye tundu za masikio yangu ikiwa ni mita chache tu tangu nitoke maeneo yale niliyokuwa awali na kunifanya nigeuke haraka upande ule iliposikika ile sauti. 
"Mpiga pichaaa njoo kwa bwanaa sisi ndio tumekwita." niliisikia mara ya pili hii sauti na kuwaona mabinti wawili wakiwa wanatoka kwenye maji huku wakiwa na maboya ya kuogelea wameyashikilia na kunionesha ishara ya mikono kuwa niwafate mahali wanapoelekea ambapo kulionekana mabint wengine wakiwa wamepozi ndani ya hiace. Nilisogea hadi eneo lile na kuwakuta eneo la nyuma la ile gari ambako ulifunguliwa mlango mkubwa wa nyuma na wao wakawa wanabadilisha nguo zao zilizolowa. Nilijibaraguza kwa kukohoa kidogo ili kuwajulisha kuwa nimefika huku nikigeuza shingo yangu pembeni ambayo ilikuwa ikibishana vikali na macho yaliyokuwa yanang'ang'ania kwa nguvu zote kutazama maumbo mazuri ya wale mabint huku akili ikikubali na kuisifu kazi ya uumbaji ya mungu.

"teh teh teh eeeeh.."
 "sasa nyinyi mnachekacheka nini? au mnamchekea mpiga picha" 
"Aaaaah, Suzy nawe acha hizo" 
"Acha hizo nini mnatuchelewesha bwana. kakaangu wapige hivyohivyo watakusimamisha hao hadi nawe ulowe chapachapa maana wataanza kujipodoa hapoo wee"

Ilikuwa ni sauti ya msichana mwengine mnene aliyekuwa ndani ya hiace ile ambayo ilionesha dhahili ilikuwa ni ya kifamilia niliyemtambua haraka kuwa anaitwa Suzy mara baada ya kuanza kuwapa makavu wale mabint walionita ambao walikuwa wanacheka mara baada ya kunitazama pale nilipojikohoza huku nikiwa nimepindukia pembeni baada ya kuwakuta wakiwa na vichupi tena mmoja akiwa kainama akivaa suruali.

"Okey kakangu si tuko tayari tupige picha.." 
Aliongea yule bint aliyenita awali huku akiwa kaeka pozi la kukumbatiana na mwenzake nami bila hiyana nilifungua kamera yangu harakaharaka na kuwafanya wacheke tena pindi nilipoitoa kwenye mfuko wa rambo.
 "Enhee sasa picha zetu tutazipata vipi?" 
"Kila jumamosi na jumapili napatikana huku haina shida dadazangu." 
Niliwajibu mara baada ya kuniuliza swali lile huku nikiendelea kuwapiga picha na kitu kilichonifurahisha kwa wateja hawa tofauti na wengi niliowazoea wanapiga picha moja kisha wanakupa Advans sh 150 . lakini hawa walipiga picha za mapozi tofauti sita na kunikabidhi hele cash ya picha sita sh 1500 huku wakiahidi jumamosi watakuja kuchukua picha zao. Nami baada ya kumalizana nao waliingia kwenye gari yao na kuondoka huku nami nikishukuru kwa upande mwengine na kuongoza njia nikiwahi stendi ya daladala kwani sasa mvua ilichachamaa na hayakuwa manyunyu tena.

* * * * * 
Siku zilisonga na hatimae week end nyengine ikawadia ikiwa siku ya jumamosi kama kawaida yangu nikiwa maeneo ya coco beach ambako siku hiyo hali ya hewa ilikuwa nzuri sana hakukuwa na mvua na pia jua lilikuwa la wastani na wateja wakumwaga ambako hadi majira hayo ya saa saba nilikuwa nishamaliza mikanda yangu miwili na kubaki nazurula kuwatafuta baadhi ya wateja niliokuwa na picha zao na mara nikiwa maeneo ya nyuma yalipokuwa yanapaki magari niliiona gari ndogo ikiingia huku ikinipigia honi na kuniwashia taa ishara ya kuniita. Nilijongea karibu na ile gari mara kioo kilishushwa na bint mrembo alionekana ndani yake akiniita kwa ishara. 
"Nadhani wewe ni mpiga picha?"
 "ndio dada ila mkanda wangu umejaa" 
"haina shida tutapitia kununua mengine ila nahitaji tuongozane sasa hivi kwetu kuna birthday harafu mpiga picha aliyetuahidi atakuja amepata dhalula" 
"ooh! wapi?" 
"ingia kwenye gari twende kakaangu tupo nyuma ya muda"

Alinisisitizia yule bint huku akinifungulia rock za milango nami nikaona leo ni siku yangu ya bahati zaidi kuliko siku zote hivyo bila kuremba nilizunguka upande wa pili na kufungua mlango nikapanda kwenye ile gari na safari ikaanza kuelekea kwenye hiyo birthday ambayo iligeuka kuwa funguo ya kufuri la mafanikio ya kazi yangu.

Muda wote nikiwa ndani ya ile gari niliendelea kumuangalia kwa jicho la kuiba iba yule bint hasa sehemu za mapajani ambayo yalikuwa wazi kwa asilimia kubwa kutokana na kinguo kifupi alichovaa kupanda juu kipindi alivyokuwa bize akikanyaga mafuta na kuyapita magari mengine huku sauti ya mdundo mzito wa muziki wa kiingereza ambao sikuujua umeimbwa na nani ukiendelea kutikisa ndani ya ile gari huku nami nikizuga kwa kutingisha kichwa nikijifanya nami nimo kwenye miondoko ile.

Breki ya kwanza ilikuwa ni mbele ya duka moja kubwa la Kamera na vifaa vyote vinavyuhusu picha na video lililokuwa mitaa ya kariakoo na nilishangaa kuona yule binti akinikabidhi noti kubwa mbili zenye rangi ya bluu huku kila moja ikiwa na thamani ya shillingi Elfu kumi na kuniambia ninunue mikanda nitayojua mwenyewe ili mradi zisije kukosekana picha 100.

Haikuwa kazi ngumu kwangu kwani mkanda mmoja uliuzwa sh, 1500 na kila mkanda ulikuwa na uwezo wa kutoa picha 30. kwa hiyo mikanda minne ilitosha kabisa na picha za akiba, nami nikanunua mikanda mitano pamoja na betri za akiba nyengine kisha nilirudi na safari iliendelea hadi kwenye geti la nyumba moja kubwa mitaa ya Magomeni na mara baada ya mlinzi kufungua geti gari iliingia hadi sehemu ambapo kulionekana gari zisizopungua nane huku nikiifananisha gari moja aina ya hiace iliyopaki eneo lile.

"Waooooooo...... Suuzyiiiii andaeni Keki da Nasra amefika na Mpiga picha..."

Ilikuwa ni Sauti ya bint mmoja mweupe mwembamba akiwa kapendeza kwa jinsi alivyopangilia mavazi yake ambae alikuja moja kwa moja na kumkumbatia yule bint aliyenileta pale ambae nilielewa kwamba anaitwa Nasra hasa mara baada ya kumwita mwenzake aliyekuwa ndani na kumfahamisha kuwa dada yao ameshafika.

Ki ukweli nilivutiwa sana na mandhaali ya lile eneo hususan bustani ya maua nzuri iliyopamba pembezoni mwa nyumba ile ya kifahali, pia ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kuingia kwenye nyumba nzuri kama ile ambayo ina A/C mpaka ndani.

Tulifika kwenye Sebure kubwa iliyopambwa vizuri huku wageni wachache waliopendeza ipasavyo wanaume na wanaake wakiwa wamesimama mara baada ya kuingia mule ndani. Yaani nimimi pekee niliyeonekana kama doa kwenye nguo nyeupe mule ndani kwa jinsi watu walivyopendeza huku nikiwa nashangaashangaa nisijue nianzie wapi kupiga hizo picha hadi zifike mia kwani ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kupiga picha kwenye shughuli za watu tena sehemu kama ile.

"Da Nasra kweli nooma mara hii karudi!!, haya isiwe ametuletea mluga luga akatuharibia picha zetu za Shughuli..."
 "Suzy nawe kwanini huwezi kulichunga hilo domo lako.?"

Sauti hizi zilizosikika upande wa kushoto na niliposimama zikitokea kwenye mlango mmoja ambao sikuelewa kama ni jikoni au vipi zilinifanya nigeuke na ndipo macho yangu yalikutana na bint bonge ambae nilimkumbuka hasa baada ya kusikia na jina lake akiwa kabeba Keki iliyopambwa vizuri pamoja na mwenzake wakija eneo lile tulipo.

"waooo kumbe wewe.." 
Aliongea Suzy ambae nae alionesha kunikumbuka. 
"Hee! Suzy na wewe unamjua huyo kijana." 
Ilisikika sauti ya Mama mmoja aliekuwepo nae eneo lile na kumuuliza Suzy. 
"ndio mama, aliwahi kutupiga picha huyu wiki iliyopita." 
"Basi vizuri si zilitoka vizuri tu."
 sijaziona sijui amekuja nazo?" 
Aliongea Suzy ambae nilipenda kumwita kibonge mara baada ya kumzoea nami nikajibu kuwa picha ninazo na baada ya kuzitoa walizipenda na kunisifu pia.

Wakati huo wote mwenyeji wangu aliyenileta hakuwepo eneo lile kwani alipandisha ngazi kuelekea juu akiniacha pale chini nang'aang'aa sharubu nikisubiri kuambiwa nipige au nisipige.

"Mpiga picha kaa tayari Warengwa wanakuja.. Shughuli ndio imeanza rasmi..."

Aliongea kijana mmoja alievalia Suti nyeusi ambae sikujua kama ndie MC au vipi, nami nikajiandaa kwa kuwasha kamera yangu na kukaa sawa huku nikijipa moyo na kupania lazima nitoe picha za kiufundi wa hali ya juu.

mara nikaanza kusikia... HAPPY BIRTH DAY TO YOUUUUU HAPPY BIRTHDAY TO YOUUUUU ............. 
Sikuamini macho yangu kwa kile nilichokuwa nakiona kikitokea pale juu ya ngazi kujia sebureni na kujikuta kidole changu cha kufyatulia kikianza kuloa jasho richa ya A/C iliyokuwemo mule ndani wakati sijaanza hata kupiga picha moja.

Ilinichukua zaidi ya sekunde thelathini nikiendelea kukishangaa kile nikionacho huku moyo wangu ukisifu kazi ya uumbaji wa mungu huku macho yangu yakishindwa kutofautisha kile nikionacho.. Naam, walionekana mabinti wawili warembo waliofanana barabara wakishuka kwenye ngazi taratibu huku nyuma kukiwa na wapambe wachache wakiwasindikiza kwa kuwapigia makofi na kuwaimbia. Richa ya uzuri wa wale mabinti ila kuna kitu kikubwa kilichonishangaza zaidi ni kushindwa kuwatofautisha kwani nilielewa mapema kuwa mmoja kati yao ndie aliyenichukua toka beach na nilikumbuka anaitwa Nasra lakini nilishindwa kumjua ndio yupi. 
"Mpiga pichaaaa.. mbona unalala? shughuli imeshaanza babu eeeh.." 
Ilikuwa ni sauti ya Suzy Kibonge iliyonichangamsha na kuanza kufotoa picha za mnato kwa ustadi mkubwa na shughuli ilinoga asikwambie mtu hasa baada ya kumaliza kula keki ulifunguliwa mziki wenye mdundo mzito wa mule ndani na watu wakaanza kuburudika huku mimi nikiendelea kuchukua picha za matukio muhimu. Vinywaji vilikuwa kibao lakini sikumbuki kama niliona soda maeneo yale na kama zilikuwepo basi ziliisha mapema sana kwani nilichoshuhudia watu wakinywa ni aina za bia tofauti ambazo ni nadra sana kuzikuta ktk grocery za uswahilini.

"jamani we kaka, mbona unapiga picha tu muda wote hata hujichanganyi kwenye vinywaji akati hii shughuli kama ya kifamilia tuuu.." 
Ilikuwa ni sauti ya bint mmoja ambae sikumfahamu alieonesha dhahili tayari kichwani wako wawili 
(yeye na pombe).
 "haaa.. usija...."
 kabla sijamalizia nilishangaa kuona Suzy kibonge akija huku akiwa na chupa kubwa ya pombe za kidhungu pamoja na grasi na kumimina kisha akanikabidhi. 
"kunywa hii uchangamke kama sisi ili utoe na picha zilizochangamka pia sio umepooza pooza hapo"
 Aliongea Suzzy huku akinikabidhi ile grasi baada ya kuona nasita kuipokea. Kiukweli sijawahi kunywa pombe hapo kabla lakini usiku ule nilijikuta nashawishika na maneno ya Suzy na kujikuta nikianza kuifakamia ile pombe ambayo ilikuwa na utamu frani ulioipendeza nafsi yangu na kujikuta nikiomba niongezwe tena. hali ikawa hivyo saa zikasonga huku nami nikigeuka kuwa mwenyeji zaidi na kuanza kuwaelekeza watu pozi nzuri za kupigwa picha tena muda mwengine nilijikuta nakuwa mkali pindi wanapokuwa wagumu kunielewa.. Mhh!!! pombe hizi!! we acha tu.

* * * * * * 

"Jamani sasa ni saa saba usiku, tumefunga shughuli Asanteni kwa kuja nadhani ni vyema kila mtu amkokote mtu wake wakalaleee.."
 Ilikuwa ni sauti niliyoisikia kwa mbali sana huku nikishindwa kumuona vizuri aliyekuwa anaongea kwani wakati huo tayari nilikuwa sijielewi kabisaaa hadi kukawa na mabishano makubwa kati ya mwili na akili.. 
akili inauamrisha mwili vyengine na mwili unafanya vyengine..
 Akili inaiamuru miguu kusimama na kwenda mbele lakini miguu inabisha bisha na kurudi nyuma huku ikienda ovyo tofauti na kichwa kinavyotaka na kujikuta nikidondoka. 
"haya Suzzy mzigo wako huo.... we unaona mtu bado mruga ruga unamjaza ma wisky.." 
"haina shida bibiee we vipi.. kwani kuna shida?" 
Aling'aka Suzy wakati huo wageni waalikwa walikuwa wanatoka walipopaki gari zao huku kwa upande wangu nikiwa niko tila lila na kadri saa zilivyosonga ndio nikawa nazidi kupoteza mtandao wa kichwa na mwishoe nikazima kabisa.

* * * * * * 
Baada ya muda mrefu kupita Nikiwa katika usingizi mzito wa mang'amung'amu ya pombe kuna kitu kilianza kujengenga kichwani mwangu na kunitengenezea ndoto taaamu sana. Ilikuwa hivi.....

Nilijiona nipo kwenye kitanda nikiwa kama nilivyozaliwa huku pembeni kukiwa na msichana mrembo nae akiwa kama mimi huku akinichezea sehemu zangu za usalama wa taifa ambapo bila hiyana aliikamata pipi yangu ya kijiti na kuanza kuinyonya taratibu huku akichezea korodani zangu na kuzidi kunipa maraha ya ajabu ambapo kadri dakika zilivyoenda ndivyo alivyozidi kutalii mwilini mwangu na kuamsha mapepo yote ya makamuzi yaliyokuwa kila kona za mwili na kujikuta napandisha stimu na kumgeuza na kuanza kumramba ramba na yeye mithili ya chatu anayejiandaa kummeza mnyama baada ya kumvunjavunja.. 
""" ashhhhhhh.... aaaaahhhh.. oooohhhh..." 
Ilikuwa ni miguno ya raha aliyokuwa anatoa yule mrembo kipindi hiko nikiwa bize sana ikulu kwake nikiendelea kupekua mafaili ya kila aina huku mkono wangu mmoja ukipandisha maeneo ya nyanda za juu ukipalizipalizi na kubinya binya chuchu zake bila papara na kumfanya azidi kujinyonga nyonga kama nyoka aliekatwa kichwa.
 '''''' oooohhhhh apo aaaa hapooo apoooo uuuuuuwwww aaaaaahhhhhh ashhh ''''
 Aliendelea kupagawa na kupiga kelele zilizonipandisha mdadi zaidi na kuona sasa muda wa kuku kuchinjwa umewadia kwani tayari alikuwa kashafika kilele cha kwanza kile cha kibo na sasa alikuwa anasimama upya ili aelekee mawenzi nami nikaona haitakuwa haki huko nako aende mwenyewe acha niende nae sasa. nilikamata dunguso langu lililosimama barabara huku likitoa mate ya uchu na kuanza kumpigapiga nalo kwenye milango ya ikulu yake huku nikisugua pale juu ya kiarage chake kwa dakika kadhaa na kumfanya azidi kupiga kelele na kuongea lugha ambayo sikuielewa na mara nilishtukia maji yakinirukia kifuani kwa wingi mithili ya bomba lililokatwa ghafra..
. ''''''' Ooooohhhh umenimalizaaaaaa aaaaaaah oooooh... '''' Aliongea huku akipiga piga mikono na miguu akiwa ametepeta kama mrenda nami nikaamua kulisongomeka dunguso langu na mchakamcha ukaanza huku kwa upande wake akiwa hoi nami sikujali niliendelea mpaka nilipofika nae mawenzi ambapo ndio kilikuwa kilele cha mlima ule mrefu wa maraha wa Kilimanjaro.

Nilijitupa pembeni nae huku akinipa kontena la mzigo wa Asante na alijisogeza kifuani kwangu na kunilalia .. "Asanteee aaah!! we kweli kidume.. ktk maisha yangu hadi umli huu hakuna mwanaume aliyewahi kunifanyia vitu vikubwa kama hivi.. Ooooh asante sana MPIGA PICHA.." Nilistushwa na maneno yake hasa kauli ile ya mwisho alivyonita Mpiga picha na kufanya ubongo wangu uchaji haraka na kujiuliza hii ni ndoto gani isiyokatika hadi tunapongezana? hapana.. Nilituliza akili na kujaribu kujiamsha ndipo nilipobaini kumbe sikulala na yote yaliyokuwa yanaendelea pale haikuwa ndoto bali ni vitu live. "Mungu wangu... kumbe sioti.." 
Nilijikuta naropoka kwa sauti na kumstua yule mwanamke ambae awali nilijua ni mrembo wa ndoto lakini nilipomuangalia vizuri ndio nilizidi kuchoka. Tukiwa tumetumbuliana macho bila kusemezana huku kila mmoja akimshangaa mwenzake mara mlango uligongwa.

_____________________
_____________ITAENDELEA
======================

NINI KILITOKEA HAPO?

USIKOSE SEHEMU IJAYO.






ACHA MAONI YAKO HAPO CHINI PIA USIKOSE KUTEMBELEA PAGE YETU YA FECEBOOK Story Za Mtoto Wa Becker.
^^^^^^^^^

 

Imechapishwa 2 days ago na shebby becker

  

 

Tazama maoni

JUL

29

KIWEMBE..... homa ya warembo




Uhandsome niliokuwa nao ulikuwa ni chachu ya kupendwa na mijimama yenye pesa ndefu, eheee. Namaanisha wenye mikwanja.
Umasikini uliokuwepo kwenye familia yetu ulinifanya nisione soni kuruka na mijimama hii, yap... Niliwapa ile kitu roho inapenda na kweli nilizidi kuwachomoa manoti na kujitengenezea heshima kitaa.
Lakini kwa sababu yao wamenifanya niwe Kiwembe.

Wamenifanya nisijue thamani ya mtu anaependa au kupendwa.
Nina chuki nao na nina chuki kwa kila mwanamke mrembo na mwenye pesa.

Lazima nao niwape hiki walichonipa.
watoto wa shule,vyuo,uswazi na kwengineko wooooote sasa wananijua kuwa mimi ni KIWEMBE na bado wanaugua kwa mambo yangu wapo taaaabani.

hahahahahahaaaa au huenda ikawa laana ya kumtoa bikra dada yangu ?
au nilivyolala na mamaangu mdogo !!?  au ni yule mke wa Mbunge ?
aaaah lakini si wenyewe walikichezea kiwembe changu sasa hawajajua kama hukata pande zote? acha niendelee kuwakata tu na kuwatafuta.
baada ya kimada wa wazili sasa jiandae na wewe Kimada wa Rais...

....... 
KAMA UKO CHINI YA MIAKA 18USISOME CHOMBEZO HILI 

.................loading.........................
....................................please wait.

Imechapishwa 3 days ago na shebby becker

  

 

Tazama maoni

JUL

28

MTOTO WA PASTOR



MTOTO WA PASTOR (INTRODUCTION)
BY - MTOTO WA BECKER
E-Mail ~ shebbybecker@gmail.com
Call ~ 0659 161740 / 0783 684869
_________________
===========

"Mapenzi   mapenzi  mapenzi  yanatajwa kila kona kila siku na yameteka hisia za watu wengi sana hasa vijana.   
Maumivu ya mapenzi mabaya sana japo jeraha lake si rahisi kuliona kwa macho kama majeraha mengine.
Wengi wameanguka kwenye mapenzi kwa kuwapenda wasiowapenda kweli ama kuwatenda waliowapenda kweli  na katika hao hujikuta wakiambulia maumivu makali sana sana sana kwa ajili ya mapenzi.

Ni faraja na dua ya kila mwanadamu kuomba kumpata yule ampendae na inapotokea hivyo hupatikana amani kubwa baina yao.
Kila mmoja wetu anahitaji kupendwa na ampendae.

Lakini je inakuaje pale wawili wapendanao wanapoumizwa na wengine kwa sababu tu ya kupendana kwao?

Japo wanasema penzi la dhati halifi lakini kwa penzi la Mtoto wa Pastor  mmmmmnnh!!!!!!!!!!!!!  ni heri uingie kwenye vita ya Simba mwituni.

Aaaaaah!! Alhamdulillah leo yote yamekwisha lakini imebaki story isiyokuja kufutika katika tabaka zote.
Kwao na Kwetu....."

Iyo ni nukuu ya sauti ya Dullah mchezaji (mwanasoka) bora wa kwanza wa dunia kutoka Tanzania.

Yapi yalimkuta Dullah?
Nani huyo Mtoto wa Pastor?
Kafanikiwa vipi kisoka?

KWA HAYO NA MENGINEYO USIKOSE KUFATILIA HADITHI HII YA KUKATA NA SHOKA

_________

_____________


Imechapishwa 4 days ago na shebby becker

  

 

Tazama maoni

MAY

20

MWANA DARESALAMA



         Utandawazi umerahisisha vitu vingi sana na umeleta faida kubwa kwa baadhi ya watu, Nchi na tamaduni kwa kukua na kuitangaza Dunia.
Lakini vilevile ktk nchi masikini hususan za Kiafrika Utandawazi umekuwa adui wa Mila na desturi za waafrika hata zile mila ambazo zilikuwa nzuri na zenye faida.
Vijana wengi wa kiafrika wamesahau mila zao wakiona zimepitwa na wakati na kuvamia mila za watu wa ughaibuni na mashariki ya mbali (ulaya) na kukimbilia mijini wakiwaacha wazee wao na kutelekeza asili yao huku wengine wakiikana kabisa.... kisa tu nae aonekane wa kisasa.
Lakini ni usasa gani unakufanya uwe Mtumwa na kunyenyekea mila na destuli za watu wengine..?
Katika nchi ya Tanzania Dar es Salaam ndio jiji maarufu pengine kuliko miji na mikoa yote. na huko ndiko sehemu ambayo utumwa wa mila za ughaibuni zimewaathili vijana wengi sana.
Maadili yanapolomoka kila kukicha Kwa sababu tu vijana wanaenda na utandawazi
.... hahahaaaaaa Wahenga walisema MKATAA KWAO MTUMWA na vile vile tukumbuke NYUMBANI NI NYUMBANI.
____
Ungana nami katika hadithi hii nzuri inayohusu maisha ya bint mmoja mrembo aliyejikuta anaikana asili yake na kuwa mtumwa wa mila na tamaduni za kizungu baada ya kuingia jijini Dar na kukutana na misukosuko ya hapa na pale lakini alianza kubadilika baada ya kuingia ktk tasnia ya filamu na huko ndipo mafanikio na umaarufu wake ulipopatikana na mambo yake yalipoanza kumnyookea zaidi baada ya kupata bwana wa kizungu alijikuta anapotoka zaidi na zaidi.
Alijipatia umaarufu mkubwa sana jijini kutokana na uzuri wake wa ajabu na kupachikwa jina la MWANA DARESALAMA huku akisahau mazito yaliyokuwa nyuma ya pazia na kujikuta anatumbukia kwenye misukosuko mikubwa sana aliyoisababisha mwenyewe kwa kudhalau na kukana mila na destuli za kwao.

USIKOSE KUFATILIA HADITHI HII NZURI NA YAKUSISIMUA 
kutoka kwa mtunzi wako mahili MTOTO WA BECKER .

Wasiliana nami kwa 0783 684869 au 0659 161740 (whatsApp)  vilevile facebook napatikana kwa page iitwayo STORY ZA MTOTO WA BECKER.

Imechapishwa 20th May na shebby becker

  

 

Tazama maoni

Inapakia

Comments

Popular posts from this blog

STORY YA KUSISIMUA

FORM FIVE SELECTION 2016 CHECK HERE

CHOMBEZO FUPI INAITWA ««JAMANI ANKO»» ISOME HAPA