STORY YA KUSISIMUA
SEPARATED FAMILY
SEHEMU YA 11
MTUNZI: H.N.K
SIMU; +254707048616 WhatsApp
18+
SEHEMU YA 11
MTUNZI: H.N.K
SIMU; +254707048616 WhatsApp
18+
ILIPOISHIA JANA~~/
Nilimuona happy akijitahidi kuamka lakini hawezi kuamka maana miguu yake haikuwa na nguvu.. Ila aliniambia kwa vitendo kuwa _______...
"unasemaje we happy?"
Alilala mithili ya kifo cha mende kisha akaniita...
"we happy una maana gani?"
SONGA NAYO
Aliniita kwa kiganja cha mkono huku akinionyeshea pale chini yaani ukeni...
"apana happy siwezi kwani bado unaumwa"
Nilikuwa kama nakaribia kulia ila happy yeye alikuwa akilia maana nilikuwa nina maumivu sana afu ukizingatia pale nilipokuwa nasex na happy nilipizi bao mbili tu.. kiaskwamba bado hamu haijaisha...
SASA KAMA ULIKUWA HUJUI MWANAUME AMBAE HAJAFIKA KILELENI ANAJISKIAJE? SASA UJUE KUWA MAUMIVU YAKE NDIO HAYO...
"ha-a ha-ary ha..a har r ha-arr aaii"
"we happy tulia bwana si umgonjwa?"
"we happy tulia bwana si umgonjwa?"
Nikaona ili asiteseke kuongea bora nimletee kalamu na karatasi ili aongee ...
"shika hii kalamu haya andika hapo"
Basi mtoto wa kike alikuwa anaandika.. aliandika kitu fulani ila sikukiafki kabisa...
["TAFADHALI HARRY NAKUONEA HURUMA KWA JINSI UNAVYOTESEKA HIVYO NAKUOMBA NIKUBANIE MAPAJA YANGU ILI UPUNGUZE HAYO MATESO PLIZ MPENZI KUBALI COZ NAJUA NI MBAYA SANA KUFANYA HIVYO ILA PIA WAWEZA POTEZA MAISHA KWA HALI HIYO PLIIZI NAKUOMBA NJOO USEX KATIKATI YA MAPAJA YANGU"]
hivyo ndivyo alivyoandika Ila sikutaka kufanya hivyo kwani asili ya mapaja na uke ni tofauti kabisa.. nilimuamsha na kumuogesha chap chap kisha nikaenda kumlaza kitandani afu nami nikaenda kuoga na kurudi chap chap kisha nikawaza atakula nini kitakachompa nguvu.. maana kama ni kupika siwezi.. nilikumbuka kwenye ile droo yake kuna mibunda ya pesa hivyo nikachukua kama elfu 10 hivi na kutoka nayo nje.. Ila kabla sijatoka nikamtengeneza jamaa ili akae vizuri maana bado limesimama tuuu.. na nikiwa nafanya hayo yeye alikuwa akiniangalia tu.. baada ya kuiweka ndonga sawa sasa nikatoka nje ili kutafuta kifungua kinywa.. nikaona genge moja la mgahawa nikalinyookea hilo hilo...
"hodi?"
"karibu mwaya karibu ukae"
"apana silii hapa ila nataka kufunga"
"tukufungie nini?"
"supu munayo?"
"ndio ipo mpaka supu ya kitimoto"
"Aaaaggghh Achano na nguruwe bwana nipe steki ya ng'ombe safi na limau kwa wingi bila kusahau pili pili afu na maziwa munayo?"
"ndio"
"nipe maziwa fresh lita moja akikisha yawe hayana maji eeh?"
"sawa"
"chapati zipo?"
"ndio"
"au funga chapati 6 za chips mayai"
"sawa kaka"
"ebu nipe kipande cha limau kwanza nikilambe"
"sawa"
"karibu mwaya karibu ukae"
"apana silii hapa ila nataka kufunga"
"tukufungie nini?"
"supu munayo?"
"ndio ipo mpaka supu ya kitimoto"
"Aaaaggghh Achano na nguruwe bwana nipe steki ya ng'ombe safi na limau kwa wingi bila kusahau pili pili afu na maziwa munayo?"
"ndio"
"nipe maziwa fresh lita moja akikisha yawe hayana maji eeh?"
"sawa"
"chapati zipo?"
"ndio"
"au funga chapati 6 za chips mayai"
"sawa kaka"
"ebu nipe kipande cha limau kwanza nikilambe"
"sawa"
Basi nilifungiwa mavitu yangu na kutoka pale huku nikilamba limao kwa nia ya kuisisimusha damu labda huenda ikatulia maana hakuna uchi niliouona...
"kaka chenchi yako?"
"aahh hiyo chukua tu"
"aahh hiyo chukua tu"
Nina shida na pesa ila kile kiumbe cha watu kule ndani ni muimu zaidi.. basi nilifika ndani na kuandaa breki fasti kwa ajili ya happy.. nilimuandalia mezani mazaga zaga kibao ya kurudisha nguvu.. kisha nikaenda kumbeba ili aje avitabaaruku.. muda huo dude lilishapoa saa mingi mno tuu...
"haya twende ukale basi"
["UMELETA NINI?"]
"vitu vitamu tuuu"
Sasa nilipokuwa namuamsha mara kanga ikadondoka...
"Aaayaaa kumbe hukuvaa Chupi?"
Akatikisa kichwa kuashiria kuwa asingeweza kuvaa mwenyewe hivyo alihitaji kampani.. basi kabla hajaanza kula nikaona bora nimvalishe nguo kwanza.. basi nilimtenga pale sofani na kumuuliza...
"hizo chupi zako unaekaga wapi?"
Nikampa kalamu na karatasi...
["ZIPO KABATINI AFU KWA PEMBENI KUNA GAUNI LANGU JEKUNDU NA TAITI IPO KWA JUU YA KABATI"]
"mbona maagizo mengi hivyo?"
["JAMANI HARRY KAMA NAWEZA KWENDA MWENYEWE SI NINGEENDA?]
"haya basi yaishe eehh hutaniwi"
Na hapo alikuwa akiongea kwa kuandika kwani kitu ambacho hawezi ni kuongea vizuri na kutembea kuwa anasema kiuno chake hakina nguvu kabisa...
"sasa ni chupi gani unavaa?"
["NYEKUNDU NA TAITI NYEUSI"]
basi nikaenda kuvileta kisha nikaanza kumvalisha kimoja baada ya kingine.. duuu nilipomaliza kumvalisha chupi nikaanza kumtamani na kuamsha midudu yangu tena.. nikamvalisha na ile taiti kisha nikamaliza na gauni afu akakatishia na khanga...
"haya sasa supu hii ni lazima iishe na haya maziwa sawa?"
Nikampa kalamu na karatasi...
["TULE WOTE"]
"we kula mi nishakula huko huko"
Nilimdanganya...
["BASI MI SILI KAMA WE HULI"]
Nikaona ngoja nile ili tuepue marumbano.. basi tuliila ile misosi hadi iliisha kisha nikamchukua na kwenda kumlaza kitandani...
"ayaaa afu nimekumbuka happy? nina miadi na mtu leo saa 5 asubui hii sasa sijui itakuaje na ni kwenda kuonyeshwa kazi"
Nikampa kalamu na karatasi...
["HARRY SITAKI UENDE MAHALI NA KAMA NI KAZI OFISINI KWA BABA ZIPO NAFASI NITAKUPELEKA"]
Nikafikiriaaa lakini nikaona hapana wanawake huwa hawafikirii mara mbili ni vigeu geu kwani ananidhamini sasa hivi baadae ndio yale ya kutupiana nguo nje.. ikawa aibu tupu...
"apana happy yule mtu ataniona mi mbaya kwani nilimuomba anitaftie na imepatkana"
["LAKINI SI UTALALA HUKU KWANGU?"]
"pia hivyo haitowezekana"
["KWANINI MPENZI WANGU?"]
Unaona kashaanza kuniita mpenzi na wakati anae mpenzi yaani hawa wanawake sijui wana mioyo gani hawa...
"kazi yenyewe ni ya usiku tena hapa ninapoongea ndio nazidi kuchelewa"
["HAPANA HARRY KWANI NI KAZI GANI HIYO?"]
"ni kazi ya ulinzi"
["JAMANI HARRY PLIIZ NITAKUTAFTIA KAZI OFISINI KWETU TENA YA MAANA TU"]
"skia nitakaa hapa kwa dakika 10 tu za kumpigia rafiki yako yoyote wa kike aje akae na wewe hapa.. fanya hivyo kabla sijaondoka"
["JAMANI HARRY TAFADHALI SANA USINIACHE MPWEKE PLIIZ JAMANI"]
kweli nilikuwa namuonea huruma happy kwani alikuwa analia kama mtoto Ila sikujali nilichukuwa vitu vyangu na kuviweka sawa hasa hasa kibegi changu...
"skia mi ndio naondoka hivyo sasa we fanya mpango wa kupiga simu kwa rafiki yako yoyote"
Sasa nikawa naondoka bila hata ya kumuaga...
"harry ngoja kwanza"
Aliongea kwa mdomo huku akiwa kadondoka chini...
"umeweza kuongea? ebu jaribu hata kutembea"
Nilimuamsha pale chini na kumsimamisha taratibu kwani hata kuongea yenyewe sio kwa sana sasa sijui kaafectika nini uko...
"harry siwezi bwana"
Sasa hivi haongei na kalamu tena.. sasa tukiwa tunatembezana taratibu mara mlango uligongwa Ila ugongaji huu happy anaujua hivyo alinisii nimrudishe kitandani haraka na nijifiche...
"ni nani?"
Nilimuuliza huku nikiweka vitu vyangu sawa...
"ni herry"
"haaa kweli?"
"ndio"
"basi tutaonana siku nyingine kwani akiingia tu mi natoka"
"jamani harry pliiz naomba uwe unakuja"
"nikipata nafasi nitakuja.. mwambie asukume mlango upo wazi"
"haaa kweli?"
"ndio"
"basi tutaonana siku nyingine kwani akiingia tu mi natoka"
"jamani harry pliiz naomba uwe unakuja"
"nikipata nafasi nitakuja.. mwambie asukume mlango upo wazi"
Basi alimuambia kisha jamaa akaingia ila sijamuona sura zaidi ya kuona suti na sauti za foengo.. sasa nikiwa nimetoka hadi nje nilikutana na gari mbili kali.. moja ni ya huyo herry na nyingine ni ya yule mwanamke alienipita hapa jana usiku wakati nimegombana na happy na kama sii happy kunichukuwa basi mpaka sasa ningelikuepo kwenye mikono ya huyu mama.. sasa cha kushangaza zaidi ni yule mama alipowaamuru watu walioko ndani ya gari lake kuwa wanikamate...
"kijana mwenyewe ndio yule pale.. hebu mleteni haraka"
Nilianza kutetemeka kwa uoga maana hata sijui nakamatiwa nini na sijui nimewakosea nini hawa watu...
"jamani labda sio mimi"
Nilianza kujitetea kwa njia hiyo kwani huenda nitakamatwa kwasababu ya herry...
"ulizani hatukujui? Afu unajifanya umebadili nguo ili tusikujue?"
"skia bro mimi naitwa harry"
"nini? hata huyo tunaemtafuta pia anaitwa hilo jina"
"kwani nimewafanyeje jamani?"
"mzee wako tulimfanyia kazi miaka 15 iliopita afu alivyo mjinga akatufungulia kesi na kutusababishia kufungwa jela sasa tunakukamata wewe ili atulipe kupitia wewe"
"brooo sio mimi"
"mamy? mbona kinakazia tu sio yeye kwani huna picha ya huyo kijana?"
"picha yake hii hapa"
"haya sasa kataa tena.. mjinga nini wewe"
"skia broo huyo munaemtafuta yupo pale ndani na mimi nimefanana nae tu"
"skia bro mimi naitwa harry"
"nini? hata huyo tunaemtafuta pia anaitwa hilo jina"
"kwani nimewafanyeje jamani?"
"mzee wako tulimfanyia kazi miaka 15 iliopita afu alivyo mjinga akatufungulia kesi na kutusababishia kufungwa jela sasa tunakukamata wewe ili atulipe kupitia wewe"
"brooo sio mimi"
"mamy? mbona kinakazia tu sio yeye kwani huna picha ya huyo kijana?"
"picha yake hii hapa"
"haya sasa kataa tena.. mjinga nini wewe"
"skia broo huyo munaemtafuta yupo pale ndani na mimi nimefanana nae tu"
Nikaona bora niseme ukweli juu ya hilo maana nitakamatwa kwa kesi isionihusu...
"we chidy hebu mshike huyu kijana ili mimi nikaangalie huko anaposema kuwa wanafanania"
Basi nilikabiziwa katika mikono ya mmoja wao tena sikuwa na wasi wasi wowote kwani najua tu sio mimi mwenye hilo kosa.. sasa jamaa alifanikiwa kumpata ila pia sikumuona kwani alikuwa analetwa akiwa nyuma yangu hivyo hata yeye hakuniona sura zaidi ya kuona mgongo na kichogo tu.. sasa yule mama akashangaa kwa kutuona tukiwa copiraiti kabisa na kushindwa kutambua kuwa huyo anaemuhitaji ni yupi...
"we dogo? hebu sema kati ya wewe na yule nani ni mtoto wa Mzee Gasper?"
"aiisee broo kwaio kama tunafanana sura kwani hata mavazi huyaoni?"
"aiisee broo kwaio kama tunafanana sura kwani hata mavazi huyaoni?"
Saa hiyo nikiongea hayo wala sikuwa natamani kumuona huyo ambae nafanana nae...
"watasema vizuri hawa hebu wachukueni wote twende nao kambini"
Daahh nikaona sasa haya maisha ya kufanana saa mingine mazuri ila saa mingine ndio kama hivi.. yaani nimelaani mnoo kitendo hiki.. sasa kabla hawajaanza kutuburuza na kutukutanisha mara kuliskika king'ora cha police.. sasa kumbe hawa majamaa bado wana kesi ya kutoroka jela hivyo waliposkia tu king'ora aliniachia na kusema kuwa...
"muna bahati sana kwa leo.. ila siku tutawatafuta tu nyie"
Waliondoka mbio isio ya kawaida.. sasa na mimi nikakumbuka kuwa nina kesi yangu binafsi ilionitoa kule kijijini na kunileta mjini.. hivyo sikukawia nikakata chocho fasta na kumuacha yule jamaa akishangaa shangaa 😮.. basi nilikwenda kutokea mahali ambapo sikupatarajia kutokea...
"oya kaka? mi ni mgeni eti stendi ni wapi?"
Nilishukuru kwa kuelekezwa sawa maana naskiaga Dar kama huna pesa ukiulizia mahali basi wanakupoteza Ila huku chuga hakuna huo ujinga.. basi nilifika stendi na kumsubiri yule dada aliesema tukutane hapa.. punde sii punde dada yule alitokea na kunipakiza kwenye tax kisha tunaelekea huko kwenye kazi...
"eti samaani unaitwa nani vile?"
"naitwa harrison"
"oohh ulishawahi kufanyaga kazi kama hiyo?"
"aahh ndio"
"naitwa harrison"
"oohh ulishawahi kufanyaga kazi kama hiyo?"
"aahh ndio"
Nilimdanganya Coz unaweza ukasema sijawahi afu ndio ukajikosesha kazi...
"uliifanyia wapi?"
"mmhhh kule kule nyumbani"
"ok.. Tax tumefika ni hapo mbele tu"
"sawa dada"
"huku ni maeneo gani dada"
"mmhhh kule kule nyumbani"
"ok.. Tax tumefika ni hapo mbele tu"
"sawa dada"
"huku ni maeneo gani dada"
Nilimuuliza huku nikiwa kama napafahamu vile...
"huku wanapaita SAKINA na mtaa wenyewe ni KIBANDA MAZIWA"
"oohh sawa.. kuzuri kweli"
"oohh sawa.. kuzuri kweli"
Tulifika mahali tukashuka kwenye tax na kuanza kutembea kwa mguu...
"Dada huko kwenye hio nyumba ni mbali eeh?"
"wala tu.. si ile pale"
"ile ghorofa pale?"
"ndio"
"kwaio nitalinda lile jumba lote lile?"
"na usafi juu sio kulinda tu"
"wala tu.. si ile pale"
"ile ghorofa pale?"
"ndio"
"kwaio nitalinda lile jumba lote lile?"
"na usafi juu sio kulinda tu"
Tulifika hadi getini na kugonga kengele ya geti..
"triiii triii?"
Nilipochungulia niliona mdada fulani hivi anakuja kufungua...
"kwahio ukibonyeza hapo vinaenda hadi wapi?"
"inaishia sebuleni tu"
"kwaio hapo wametuskia kabisa?"
"ndio"
"inaishia sebuleni tu"
"kwaio hapo wametuskia kabisa?"
"ndio"
Dada huyu alinivumilia kwa maswali niliokuwa nikimuuliza maana kashajua tu mimi ndio wale walee wa bushiiii.. mara mlango ulifunguliwa na mtoto wa kike mrembo afu toto maji ya kunde afu alinivalia mini sketi yaani hata taiti nilikuwa naiona.. sasa si nikawa namuangalia...
"unaniangalia nini? we fala nini?"
"hee we manka siyo vizuri hivyo.. kwani we ni nani hasa usiangaliwe?"
"hee mwezangu yamekuwa hayo? basi yaishe.. Ehe huyu ndio huyo mlinzi au?'
"ndio"
"mbona kichafu hivi hata hadhi ya hapa ndani hana"
"kwani we ni kwenu?"
"hee we manka siyo vizuri hivyo.. kwani we ni nani hasa usiangaliwe?"
"hee mwezangu yamekuwa hayo? basi yaishe.. Ehe huyu ndio huyo mlinzi au?'
"ndio"
"mbona kichafu hivi hata hadhi ya hapa ndani hana"
"kwani we ni kwenu?"
Haaa kumbe huyu manka sio kwao alafu ndio ana mdomo hivyo? Je kama ingekuwa ni kwao je? Ila huyu dada alionileta ananifurahisha sana kwa kumpa vigongo vyake japo ni mrembo...
UNAJUA MWANAMKE UKISHAKUWA MZURI NA MWENYE UMBO LA KUVUTIA AFU UKAWA NA KIJIROHO FULANI HIVI.. BASI UJUE KUWA HUO UZURI NA UMBO LAKO SII KITU KWA WATU NA HESHMA ZAO HIVYO KWA WATOTO WAZURI NA WENYE MAUMBO YAO HAWAPASWI KUWA NA ROHO MBAYA COZ UNAUPOTEZA UZURI WAKOOOO...
"haya ingieni ndani"
Lakini hii nyumba kama haijapotea saana taswira yake.. au huenda zinafanana na hiyo nilioifananisha.. kwani hii tofauti yake ni rangi tu sasa nilipokaribia kuingia ndani haka kamanka kalinizuia na kuniletea kiti kwa hapo nje...
"wewe huna hadhi na huku ndani sawa?"
"haya dada"
"haya dada"
Niliitikia kwa upole wa hali ya juu mno huku nikiangalia madhingira ya nyumba hiyo.. basi punde si punde nililetewa chakula pale pale nje na kukichapa kisawaa sawa.. baada ya muda nilipelekwa kwenye kijijumba ambacho kipo karibu na geti kubwa yaani hio ndio gheto ya gate man rasmi na kuingia mpaka ndani na kuonyeshwa kuwa nitalala hapo hapo na chakula wataniletea hapa hapa.. basi sikuwa na jinsi ya kukataa Ila kakitanda ni ka futi 4-5.. kisha alinizungusha nje ya huo mjengo kwa kunionyesha kazi ambazo nitazifanya saa za mchana na asubuhi...
"njoo na huku mbona unazubaa hivyo?"
Manka alikuwa akinipeleka puta kweli kweli...
"umeona haya maua?"
"ndio nayaona"
"yanamwagiwa maji kila siku kwa mara 3 sawa?"
"sawa dada"
"tafadhali mimi sio dada yako"
"haya nimekuelewa"
"ndio nayaona"
"yanamwagiwa maji kila siku kwa mara 3 sawa?"
"sawa dada"
"tafadhali mimi sio dada yako"
"haya nimekuelewa"
Nilikuwa muoga kweli maana ushamba wa kijijini bado ninao...
"kesho utapunguza haya majani na mashine ile pale sawa?"
"hayaa"
"ona domo lake lile Hayaaa"
"hayaa"
"ona domo lake lile Hayaaa"
Nilikuwa sina cha kumjibu maana bado ni mgeni wa jiji hili basi manka alinionyesha mazingira yote yatakiwayo kufanyiwa kazi wakati wa mchana...
+BAADA YA MASAA 5 KUPITA+
Na sasa ni mida ya saa 11:30 jioni nikiwa nimetulia kwenye geto A.K.A nyumba ya mlinzi niliskia honi ikipigwa...
"we harry sijui herry uko hebu fungua geti uko"
"sawa"
"sawa"
Nilifungua na kuingia gari moja kalii ila sikuona alioko ndani kwani vioo vilikuwa ni vyeusi tiii.. gari iliingia kisha nikafunga geti vizuri na kuangalia huyo mtu anaetoka nikitegemea kuwa nitamuona mama mwenye nyumba hii.. aisee kulitoka mtoto mzuri huyo...
💬("haa ivi kaumbwa yulee au kashushwa?")
Nilikuwa nikijisemea mwenyewe huku nimeshika kidevu kwa uzuri wa huyu mschana.. mara manka akaja na domo lake chafu kama bakuli za jela...
"hee manka leo hujaenda kazini nini?"
"yaa coz sijiskii vizuri, vp Joyce yupo wapi?"
"yupo anakuja"
"na huyu kijana ndio huyo atakaetunda?"
"mmhh shosti hata mimi tu nimeshangaa kukaona maana sijui ni kaki kalagosi cha wapi"
"hahahaha bwana we manka usinichekeshe.. vp Sasha yupo wapi?"
"yupo bize na jiko huko"
"ok nipo ndani Oohh sorry we kaka samaani naomba uje"
"yaa coz sijiskii vizuri, vp Joyce yupo wapi?"
"yupo anakuja"
"na huyu kijana ndio huyo atakaetunda?"
"mmhh shosti hata mimi tu nimeshangaa kukaona maana sijui ni kaki kalagosi cha wapi"
"hahahaha bwana we manka usinichekeshe.. vp Sasha yupo wapi?"
"yupo bize na jiko huko"
"ok nipo ndani Oohh sorry we kaka samaani naomba uje"
Nilienda kwa adabu na unyenyekevu wa hali ya juu mno japokuwa anaonekana ni mdogo kwangu...
"mimi naitwa ANGEL"
"nashkuru kukufahamu ila nami naitwa harrison ila ukipenda waweza niita harry"
"Ati nani?"
"harrison"
"ok so utaitwa harry sio?"
"ndio"
"ok vp umeshaelekezwa jinsi ya kufanya kazi? na mazingira kwa ujumla?"
"ndio"
"ok sawa, nipo ndani"
"nashkuru kukufahamu ila nami naitwa harrison ila ukipenda waweza niita harry"
"Ati nani?"
"harrison"
"ok so utaitwa harry sio?"
"ndio"
"ok vp umeshaelekezwa jinsi ya kufanya kazi? na mazingira kwa ujumla?"
"ndio"
"ok sawa, nipo ndani"
Jamani duniani kuna watu wameumbika sio mchezo maana ANGEL huyu kajaaliwa makalio ya wastani ila sio mnene saana.. sasa nikiwa namtafakari angel mara geti iligongwa.. basi kama wajibu wangu ulivyo ikabidi niende nikafungue geti ndogo huku nikiwa namtafakari angel.. sasa cha ajabu na cha kushangaza angel ndio alikuwa akigonga mlango...
"we si ulikuwa ndani? umefikaje tena huku"
"mambo?"
"mara ngapi sasa?"
"ivi unaakili wewe?"
"we dada samaani kule kuna mlango wa nyuma"
"kwani uliambiwa ni godauni hili?"
"nakuuliza tu"
"kwani vp?"
"nataka kujua umetokaje huku nje?"
"mambo?"
"mara ngapi sasa?"
"ivi unaakili wewe?"
"we dada samaani kule kuna mlango wa nyuma"
"kwani uliambiwa ni godauni hili?"
"nakuuliza tu"
"kwani vp?"
"nataka kujua umetokaje huku nje?"
NILIHISI ANGEL ATAKUWA SIYO BINAADAMU VILE AU WE UNAONAJE?⁉
USIKOSE KESHO MIDA KAMA HII MTU WANGU
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
Comments
Post a Comment