Posts

MAJIPU NDANI YA JIJI LA ARUSHA

Image
Angalia picha jinsi Rais John Pombe Magufuli alivyopokelewa kwa shangwe jijini Arusha katika maeneo ya chuo cha ufundi Arusha(ARUSHA TECHNICAL COLLEGE)

MECH MCHUNDOOOO.....

Image
Cheki kikosi cha mechanical kitakacho chukua ng`ombe,mbuzi na soda hapaa .  .

MCHORO WA ENG. MISSANA

Image
Kuiona michoro ya Homework iliyotolewa na Eng. Missana INGIA kwenye hii link.......

ONA PICHA ZA MAHAFALI YA CHUO......ARUSHA TECHNICAL COLLEGE APA

Image
Ona picha za mahafali ya wahitimu wa mwaka wa tatu>>>>>>»»»ATC HAPAAA

LYRICS: Navy Kenzo – Game (Feat. Vanessa Mdee)

LYRICS: Navy Kenzo – Game (Feat. Vanessa Mdee)

: Lowassa’s defection to alter polls drama landscape

: Lowassa’s defection to alter polls drama landscape

TAZAMA PICHA JINSI LOWASA ALIVYOPOKELEWA MBEYA..HAPA

Image
Breaking Newz: Habari kutoka Mbeya, mapokezi ya kumpokea Lowasa yamekuwa zaidi ya mafuriko. Airport kumefurika watu hakuna hata sehemu ya wazi. Watu wamekodi mabasi toka Songea, Njombe, Tunduma, Makambako na Iringa. Watu ni wengi sana hakufai, chanzo cha taarifa kinasema yawezekana hata watu walioandamana au msindikiza Lowasa kuchukua form walikua wachache. Kwa sasa inasemekana hata huo uwanja usitoshe mana ni Mafuriko infact Lowasa ni shida alisema mtoa taarifa