Posts
Showing posts from 2016
UKIONA UMEMTEXT DEMU AKAKUJIBU HIVII....USIENDELEE KUCHATI NAYE
- Get link
- X
- Other Apps
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu. KWA MFANO: 1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear'' 2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui'' 3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu il...
CAMOSUN IS WORKING WITH ARUSHA TECHNICAL
- Get link
- X
- Other Apps
Camosun is working with Arusha Technical College, the premier technical school in Tanzania, Africa to develop a gas transmission technician diploma program to meet the pipefitting needs of industry. The final result will be a program adapted from British Columbia’s trades foundation and apprenticeship system, aligned with the local technical education system in Tanzania. The three year Diploma will eventually be delivered by Arusha Technical College, with first enrollment expected in the fall of 2017. Camosun is currently training trainers from Arusha Technical College and supporting the design of their new curriculum. The program is part of Improving Skills Training for Employment Program (ISTEP), a three-year partnership funded by Global Affairs Canada through Colleges and Institutes Canada. In Tanzania, there has been a huge change in the population, with youth under 35 making up the largest demographic, as well as an increase of women entering the workforc...
Picha 08 : daraja litakalojengwa chini ya maji Norway
- Get link
- X
- Other Apps
Leo July 26 2016 nimekutana na hili daraja ambalo sitapenda upitwe mtu wangu, unaweza ukawa umeona madaraja mengi ila hili likakushangaza daraja hili limejengwa chini ya maji nchini Norway kwenye kivuko kati ya Kristiansand na Trondheim ndani ya mwendo wasaa 21 kwa gari kupitia daraja ilo. Daraja hili limetajwa kujengwa ndani ya miaka saba mpaka nane ingawa bado wanafanya tafiti za kigeografia na pia daraja hili litajengwa kati ya futi 65 mpaka 100 iwasaidie wananchi kuvuka kirahisi kwa safari kama za hospitali ambazo inapekelekea watu kupanda helikopta. Mradi huu utakua wakwanza duniani kujengwa kwa daraja hili nchini Norway.
CHECK FORM SIX 2015/2016 results HERE
- Get link
- X
- Other Apps
INGIA HAPA KUYAANGALIA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2016 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES CLICK ANY LETTER BELOW TO FILTER CENTRES BY ALPHABET ALL CENTRES A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z P0101 AZANIA CENTRE P0104 BWIRU BOYS CENTRE P0110 ILBORU CENTRE P0112 IYUNGA CENTRE P0116 KANTALAMBA CENTRE P0119 KIBAHA CENTRE P0123 KWIRO CENTRE P0129 MARA CENTRE P0132 MILAMBO CENTRE P0133 MINAKI CENTRE P0134 MOSHI CENTRE P0135 MOSHI TECHNICAL CENTRE P0136 MUSOMA CENTRE P0140 MZUMBE CENTRE P0143 NJOMBE CENTRE P0145 NYAKATO CENTRE P0147 PUGU CENTRE P0150 SAME CENTRE P0151 SENGEREMA CENTRE P0152 SHINYANGA CENTRE P0153 SONGEA BOYS CENTRE P0156 ...